1⃣6⃣ MAMBO MUHIMU UNAYOTAKIWA UYAFANYE ILI UPATE KUISHINDA DHAMBI YA UZINZI
Na: MWL STEVEN & BETH MWAKATWILA
FUATANA NASI INSTAGRAM
KUPATA APP YETU “HUSONEMU (MWAKATWILA) APP”, BONYEZA LINK HAPA:
FUATANA NASI WHATSAPP
FUATANA NASI FACEBOOK
FUATANA NASI YOUTUBE
&
FUATANA NASI ONLINE RADIO
🗓 15 Februari, 2019
Bwana Yesu Kristo asifiwe sana. Ni imani yangu kuwa wewe ni mzima na unaendelea vizuri. Nimeupata huu muda nimeona nikuletee somo hili maalumu.
Katika somo lililopita nilikuonyesha namna ya tabia ya uzinzi ambayo chanzo chake ni roho au mapepo au shetani.
Hebu tusogee mbele kidogo kabla hatujajifunza namna ya kuishughulikia tabia hiyo nataka nikuonyeshe vyanzo ambavyo vinapelekea mtu awe na mapepo au mwili wake utawaliwe na mapepo moja ya hilo pepo ni hili la uzinzi.

HIKI KIPINDI CHA KUMI NA SITA (16).
Kuna sababu nyingi sana ambazo zinaweza kufungulia mlango wa mtu kutawaliwa na roho mbaya au mapepo. Mimi nitakuonyesha hizi chache.
SABABU YA KWANZA: NI KUABUDU MIUNGU
Sikiliza, mwanadamu anapoanza kuabudu miungu tu anakuwa anairuhusu hiyo miungu imtawale yeye na hata familia yake. Ninaposema miungu ninamaanisha ni ibada yoyote iliyo nje ya BWANA YESU KRISTO.
Nakuambia ukweli watu wanapoabudu miungu kwa kuisujudia kwa kuitolea sadaka kwa kufanya matambiko fahamu wanakuwa wanajiruhusu kutawaliwa na mapepo au majini au mizimu nk.
Sasa watu wengi sana kutokana na mila za kurithi au mapokeo ya mababu wamejikuta kwa kujua au kwa kutokujua wakiabudu miungu na ndipo hiyo miungu au hizo roho mbaya yaani mapepo yakiwaingia wao au watoto wao.
Ngoja nikupe mfano. Fikiria leo hii wewe mzazi au mzazi wako anachukua sehemu ya mwili wako kama kitovu, meno, nywele, nk na kuzipeleka kwa miungu na kufanya matambiko na kukukabidhi kwao unafikiri utafuatiliwa na roho gani?
Nakuhakikishia utafuatiliwa na roho iliyopewa sehemu ya mwili wako yaani mapepo.
Ndiyo maana unakuta watu wengi leo wamebanwa na hayo mapepo hawajui yalipitia wapi. Sikiliza mlango waliopitia ni ibada ya miungu iliyofanywa na wewe au na waliokutangulia.
Angalia huu mfano “Basi Israeli akakaa Shitimu, kisha watu wakaanza kuzini pamoja na wanawake wa Moabu; kwa kuwa waliwaalika hao watu waende sadakani, sadaka walizowachinjia miungu yao; watu wakala chakula, wakaisujudu hiyo miungu yao. Ikawa Israeli kujiungamanisha na Baal-peori; hasira za BWANA zikawaka juu ya Israeli. Kisha BWANA akamwambia Musa, Watwae wakuu wote wa hao watu, ukamtungikie BWANA watu hao mbele ya jua, ili kwamba hizo hasira kali za BWANA ziwaondokee Israeli. Basi Musa akawaambia waamuzi wa Israeli, Waueni kila mtu watu wake waliojiungamanisha na Baal-peori.” (Hesabu 25:1-5)
Ukiipitia hiyo mistari utaelewa namna watu wanavyojiunganisha na mapepo. Baal- peori ni pepo, wana wa Israeli walijikuta wamejiunganisha na pepo hilo walipolitolea sadaka na kulisujudia tu, likawatengenezea tabia mbalimbali moja ya hiyo tabia ni uzinzi.
Walipokula tu chakula kilichotolewa kwa miungu wakajikuta wamejiunganisha na hiyo miungu. Angalia kwa makini mistari hiyo utaona chakula cha kiibada kinachotolewa kwa miungu mingine kikiliwa tu na mtu mtu huyo anawezakujikuta amejiunganisha na hiyo miungu au mapepo yaliyopewa hiyo sadaka ya chakula.
Angalia leo hii watu wengi wanachangamkia sherehe za kiibada za watu wasiomwabudu Bwana Yesu Kristo. Wengi hawajui ni nini wanapokea kutoka kwenye chakula tu hicho walacho.
Fikiria kidogo una rafiki ambaye ana mungu wake ambaye Si Mungu wako anakualika siku ya sherehe za kiibada kabisa kwa miungu yao na wewe huna hata nguvu za kiroho nakuhakikishia usishangae muda huo huo ukakutana na mapepo na yakakutengenezea tabia ya uzinzi kama yalivyowatengenezea tabia hiyo wana wa Israeli siku ile.
Watoto wa kike wa Kikristo ndiyo wajinga kweli, hawajui kuchagua rafiki. Wewe unaambatana na rafiki ambaye baba yake ni kuhani wa hiyo miungu yaani mapepo au majini ndiyo anayatunza yeye anakupa nguo unavaa, anakupa hereni unavaa, anakupa mpaka wigi unavaa, anakupa mpaka pete unavaa.
Ehehee unapewa mpaka nguo ya ndani unavaa!! nakuambia usipojua namna ya kuombea hivyo vitu usishangae unakutana na mapepo na yakakupa shida sana. Unaweza kuniuliza kivipi? Haujasoma kuwa nguo au vazi la Eliya ndiyo lilisafirisha Roho kwenda kwa Elisha?
Haujawahi kuona leo hii nguo zinaletwa madhabahuni na zinaombewa Roho ya uponyaji na kweli mtu atakayeenda kuivaa tu kama mgonjwa anapona?
Ndiyo vivyo hivyo unapoyavaa mavazi yaliyotoka kwenye madhabahu ya miungu. Usishangae mapepo yakasafirishwa kwa kupitia hayo mavazi.
Mimi nakuambia ukweli unapokuwa jirani au rafiki na watu wasiomwabudu Mungu wa Bwana wetu Yesu Kristo na hujui namna ya kuvitakasa au kuviombea vitu vyake huyo mtu alivyokupa, usishangae sana ukakutana na kesi ya kuwa na mapepo.
Hujawahi kuona mtu mwenye mapepo akipewa kitu na mtu aliyejaa Roho Mtakatifu mapepo yale yanaanza kupata shida na wengine wanaanza kupiga kelele kisa kavaa nguo ya mtu aliyejaa Roho Mtakatifu?
Kama unafikiri nakutania wewe chukua chakula cha ibadani tunaita meza ya Bwana na mpelekee mtu mwenye mapepo na akakila uone matokeo yake. Nakuambia ukweli lazima mapepo yalipuke labda chakula hicho kiliwe kimapokeo.
Nakumbuka kipindi fulani nilikuwa na semina katika kanisa fulani, nilikuwa nina somo lenye kicha jifunze kumruhusu Mungu aihukumu miungu iliyokuzunguka.
Mungu akanipa neno la Maarifa kuwa nimwambie mchungaji wa kanisa hilo aandae ibada ya chakula cha Bwana. Mchungaji yule akakubali akaita baraza lake wakakubali tukapanga siku ndani ya hiyo semina wanasemina wote wale chakula cha Bwana.
Sasa sikia kilichotokea. Tukaombea chakula kile, wakaanza kula wazee wa kanisa, siku hiyo walivaa nguo nyeupe wakati wanaiendea meza iliyo na chakula nilianza kuona wengine wameanza kutetemeka.
Mzee mmoja alipochukua chakula akala mkate alipokula tu ghafla akaanza kutapika, mimi nakuambia kila mtu mwenye pepo alipogusa tu hicho tu chakula pepo alilipuka. Kuna dada mmoja yaani alitapika vibaya toka jioni ya saa kumi na moja mpaka karibu saa tano usiku.
Akaamua kusema ukweli kwa sababu tulihisi utumbo utatokea mdomoni. Akasema mwenyewe kuwa yeye ni mchawi na usiku wa kuamkia siku hiyo alikula nyama ya mtu. Huwezi amini ni dada mwimbaji mzuri tu.
Sikiliza kama chakula cha kiibada katika Bwana Yesu Kristo kinatoa mapepo unafikiri chakula cha kiibada cha mapepo au ibada zilizo nje ya Bwana Yesu Kristo kinakujaza nini kama siyo hayo mapepo?
Wazazi wengi sana wanaenda kwa wachawi mnawaita “waganga”, wanapewa dawa za kunywa wao na zingine wanawapa watoto wao wanawachanja chale mwilini wanawapaka dawa toka kwa makuhani wa mapepo mnawaita “waganga wa kienyeji” unafikiri wanawapandikizia nini?
Angalia mfano unakuta mama au baba anaenda kutafuta dawa ya kupendwa unafikiri anapewa dawa ya kupendwa? Hakuna dawa ya kupendwa unapewa pepo la uzinzi.
Sasa hilo pepo litakusumbua kweli utafuatwa na kufuata wanaume au wanawake kweli, Utajikuta mzinzi tu. Fikiri ndiyo unakuja kuokoka sasa, na umesahau kuwa ulipewa pepo la namna hiyo. Unafikiri kitatokea nini? Utafuatwa na kila mwanaume usishangae hata watumishi wasio na nguvu watakutongoza tu na utaanguka nao.
Hujawahi kuona binti akianza kuimba kwaya basi vijana wa kiume wasio na nguvu za kiroho kwaya nzima wataanguka na huyo dada. Kisa ameokoka sawa hilo halina shida ila ana pepo la uzinzi alilipata alipokunywa au kuchanjiwa dawa ya kupendwa.
Wengine hawaendi kutafuta dawa za kupendwa wanaenda kutafuta kwa mashetani tiba. Shetani hawezi kukutibu atakachokifanya akikutibu atakupandikizia mapepo tu; mojawapo linaweza kuwa hili la uzinzi. Usishangae unaanza kuzini na mganga kwanza.
Nimewahi kukutana na watu wa namna hiyo. Mnakemea pepo wala halitoki. Mnakaa na huyo dada mnamwuliza anaanza kukuambia aliwahi kwenda kwa mganga na mganga akampa dawa na wakajikuta wanazini na mganga tena kinyume cha maumbile.
Mnaingia kufanya maombi ya toba kwa ajili ya unzinzi wa kinyume cha maumbile mnashangaa pepo analipuka na kumuachia huyo binti.
Watu wengi sana leo hii wamejikuta wamebanwa na mapepo kisa utaona mama alipotaka kujifungua akaenda kwenye ibada za miungu kutafuta msaada. Akapewa na waganga dawa eti ili ajifungue vizuri, kumbe anampa mapepo.
Mtoto anazaliwa amejiunganisha na mapepo, yataanza kumsumbua kweli akishavunja ungo tu, unakuta mtoto mzinzi anazini mpaka na kaka zake.
Wazazi wengi huanza kuwalaumu watoto kumbe wao ndiyo chanzo cha hiyo tabia. Hebu anza kuangalia fuatilia kuzaliwa kwako kitovu chako, nk viliwekwa wapi?
Haujawahi kwenda kwenye ibada za miungu? Nani rafiki yako anamwabudu nani? Angalia haujawahi kushiriki matambiko? Hauna chale mwilini? Unatokea kwenye familia ya namna gani?
Kama unaona kuna ibada za miungu fahamu huenda chanzo cha kuiruhusu hiyo roho ni hiki cha kuabudu miungu au mapepo.
Tubu na ikemee hiyo roho au watafute watu waliomwamini Bwana Yesu Kristo waikemee hiyo roho.

Mungu akubariki sana.
Ukihitaji masomo yetu unaweza kuyapata kwa njia hizi zifuatazo:-
1. Tovuti yetu ya www.mwakatwila.org
2. YouTube - Mwakatwila au HUDUMA YA SOMA NENO LA MUNGU (HUSONEMU).
3. Facebook ingia katika hiyo tovuti au website yetu utaona alama ya facebook(f) like na utapata maelezo ya kujiunga au ingia Facebook halafu andika “SOMA NENO LA MUNGU”
4. Instagram ingia Instagram app halafu andika “Steven Mwakatwila”
5. DVDs 📀 au CDs 💿
6. VITABU.
NB: Wasiliana na Brigitha kwa namba +255 (0) 763 109 733, kupata VITABU, DVD & CD.
7. Kwa njia ya REDIO:- Utapata mafundisho yetu kwa redio zifuatazo:-
➖Rungwe FM 102.5 Kila siku ya Jumapili saa tatu mpaka saa nne usiku.
➖Baraka FM 107.7 Kila siku ya Jumanne saa kumi na mbili jioni mpaka saa moja usiku.
➖Bomba FM 104.1 Kila siku ya Ijumaa saa tatu usiku mpaka saa nne usiku.
Kwa Mawasiliano zaidi Utatupata kwa namba hizi:-
+255 (0) 754 849 924 Au +255 (0) 756 715 222
Wako
Mwl Steven & Beth Mwakatwila.
15/02/2019
No comments:
Post a Comment